Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
alikua mwalimu wa kifaransa na hesabu st.marys ya tabata ila kwenye 2003 hukoinasemekana wakati anahojiwa na uhamiaji.
Ameulizwa umezaliwa wapi
Akajibu Kibaha
Akaulizwa Kibaha ipo mkoa gani
Akajibu Mkoa WA Kigoma
Kipanya Malapa alitisha sana enzi zile za Singida United imepanda ligi kuu kwa mara ya kwanza,,bila kumsahu Edward Kayoza,,msimu ule alikuwa mfungaji bora kama sijakoseaKipanya Malapa
Mateja Kezman alikuwa chaguo kipenzi la Mourinho pale Stamford Bridge lakini hakuwika na akaishia zake.Wilfred Kidau (Simba)
Akilimali Yahya(Simba)
Jaja (Yanga)
Mateja Kezman
Mwingine chama mpigadebe stand ya LusakaPale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.
Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.
Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo
Said Bahanuzi
Jerry Tegete
Endelea na wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Namwenzake Mwagane YeyaSteven Mazanda - Mbeya City
Unanikumbusha viumbe kama Boniphace Pawasa, Emmanuel Gabriel, Suleiman Matola, kocha James Siang'a, daa walikuwa ni moto wa kuotea mbali aise
Mungu amrehemu Siang'aUnanikumbusha viumbe kama Boniphace Pawasa, Emmanuel Gabriel, Suleiman Matola, kocha James Siang'a, daa walikuwa ni moto wa kuotea mbali aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu sasaJohn Thomas Masamaki alicheza kwa kiwango kikubwa Mtibwa kisha akachez a kidogo Simba! Sijui yuko wapi huyu mwamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
R.i.p