Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Ni mshambuliaji gani amewahi kufunga katika mechi 5 mfululizo za mwanzo wa Ligi?Unamaanisha MK14 ni mchezaji hatari kuwahi kutokea tangu ligi kuu bara kuanzishwa?
umeanza kutazama mpira lini?
Fatakani Kufakunoga wa Kajumulo FC. Kama unaijua Kajumulo lakini.Ni mshambuliaji gani amewahi kufunga katika mechi 5 mfululizo za mwanzo wa Ligi?
Hahahaaaa, sijui hata kama analijua hilo jina.Kama unaijua Kajumulo lakini.
KufakunogaFatakani Kufakunoga wa Kajumulo FC. Kama unaijua Kajumulo lakini.