Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Michale Owen alipishana nayo kama alivyopishana nayo CoutinhoKuna wachezaji mashuhuri ambao hawajawahi kushinda Uefa Champions League (UCL). Mfano wao ni kama Buffon, Zlatan, Ronaldo De Lima, Michael Ballack, Michael Owen nk
Halafu kuna wachezaji ambao si maarufu lakini wameshinda medali za UCL. Leo tujikumbushe orodha ya wachezaji hao.
Mimi naanza na huyu Jeremy Mathieu.
Cc: FORTALEZA
Game yake ya kwanza ya ucl nadhani ni ile finalRyn Bertrand - Chelsea FC
Thomas Vermalain - Barcelona
Hakucheza hata mechi mbili za UEFA Ila akabeba ndoo
Luis Ghasia [emoji736]
Jay Jay Okocha [emoji777]
Cuenca BARCELONA [emoji736]
DEL PIERO JUVENTUS [emoji777]
Thierry Henry[emoji777]
Jordan Henderson[emoji736]
πππThiery Henry anayo. Alibeba akiwa na FC BARCELONA
Luis GarciaLuis Ghasia [emoji736]
Jay Jay Okocha [emoji777]
HahahaGiroud amevuka malengo anayo ya world cup
Ni Alessandro Del Piero.Umechanganya madesa, Alexander Del Piero mwaka 1995-1996 alichukua Uefa akiwa na kibibi kizee cha turini.