Wachezaji hawa ndiyo wanaoweza kwenda Algeria kushikilia bomba dakika zote 90 na tukafuzu Afcon

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Namshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.

Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.

Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.

Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva

Utakuja kunishukuru
 
Himid Mao vipi akiongezeka mkuu
 
tushafuzu tayari maana uganda kafungwa
 
Nakwambia mshikilie bomba au mchutame, chuma lazima kiingie
 
Niger watakuwa smart sana wakijifungisha kwa Uganda, inabidi tujue namna ya kushinda kwa haki, itakuwa somo kwetu
 
Haya mambo yananipita tu,kila siku nipo mitandaoni lakini leo ndio najua bado mechi moja stars afuzu Afcon.
 
Hapo Ni kukimbia tu ndio suluhisho watu wajitume
 
Algeria nipigie mbweha

Uganda nipigie Niger goli 5
 
Back
Top Bottom