Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahKwa uchezaji wa Algeria itabidi kocha wetu awaombe wafanye uzalendo tufungwe goli chache
We jamaa hata huelewi timu ya taifa inavyopatikana, mechi ni mwezi wa 9 sasa mwenzio kashauri watu wa kuitwa stars unasema mchezaji fulani hayupoHuyo baba Esta hayumo timu ya taifa
Himid Mao vipi akiongezeka mkuuNamshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.
Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.
Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.
Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva
Utakuja kunishukuru
tushafuzu tayari maana uganda kafungwaNamshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.
Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.
Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.
Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva
Utakuja kunishukuru
Ngoma bado ..Uganda wakishinda mechi ya mwisho Kwa magoli yakutosha..na sisi tutapigwa...tunatoka!tushafuzu tayari maana uganda kafungwa
Labda mmefuzu redetushafuzu tayari maana uganda kafungwa
Bado wewetushafuzu tayari maana uganda kafungwa