Wachezaji hawa watakosekana katika mechi ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
BERNARD MORRISON ANA MATATIZO YA KIFAMILIA [emoji41]

Yanga kuwakosa watano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa sugar.

1. [emoji1254] Khalid Aucho - Anasumbuliwa na maumivu ya misuli ya nyama za paja.

2. [emoji1078] Joyce Lomalisa - Aliumia kwenye mchezo dhidi ya Azam fc.

3. [emoji1078] Djuma Shabani - Malaria.

4. [emoji1241] Denis Nkane - Anauguza majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Coastal Union.

5. [emoji1110] Bernard Morrison - Amepewa ruhusa kwenda nyumbani kwao kwa ajili ya kutatua matatizo ya kifamilia.

[emoji2399] Yanga App

YAANI JAMAA ASIENDE KULA SIKUKUU GHANA !!!!!AAAAAAH WEH
images%20(85).jpg
 
Huyo wa kwanza ni mzee na huu mwisho wa mwaka lazima arudi home kutoa baraka kwa vijana

Wapili naye hana tofauti na kwanza kiufupi hawa wana vyeo kwenye lile baraza la wazee wa Yanga.

Huyo watatu yupo kwenye diet baada ya mazoezi kushindwa ku solve swala zima la kitambi

Na wanne yupo kwenye mgomo baridi unaotokana na posho kuwa ndogo huku wakipigiwa promo nje ya uwanja waonekane wameridhika na maisha ya hapo Klabuni.

Huyu watano ni muongo, kwasababu juzi tu hapo wakati akiwa Simba alikuwa huko huko kwao kwa ajili ya matatizo hayo hayo ya kifamilia.

Huyu anaenda kuhudhuria kikao kwao, na kikao hakiwezekani kuanzishwa bila ya yeye.
 
Leo Simba Wana mechi zingatieni ilo kwanza mkipoteza itawaletea shida, Yanga ya Sasa ata wakiondoka wachezaji kumi bado Wana kikosi Cha kupata matokeo Kwa Mtibwa.
Simba akikosekana Chama tu, MO anaanza kutukanwa mitandaoni Kwa matokeo mabaya ya timu.
 
Mmeshakua wasemaji wa Yanga karibuni sana
 
BERNARD MORRISON ANA MATATIZO YA KIFAMILIA [emoji41]

Yanga kuwakosa watano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa sugar.

1. [emoji1254] Khalid Aucho - Anasumbuliwa na maumivu ya misuli ya nyama za paja.

2. [emoji1078] Joyce Lomalisa - Aliumia kwenye mchezo dhidi ya Azam fc.

3. [emoji1078] Djuma Shabani - Malaria.

4. [emoji1241] Denis Nkane - Anauguza majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Coastal Union.

5. [emoji1110] Bernard Morrison - Amepewa ruhusa kwenda nyumbani kwao kwa ajili ya kutatua matatizo ya kifamilia.

[emoji2399] Yanga App

YAANI JAMAA ASIENDE KULA SIKUKUU GHANA !!!!!AAAAAAH WEHView attachment 2463423
Mfano timu yako punguza wachezaji watatu tu uone kitakacho tokea
 
Leo Simba Wana mechi zingatieni ilo kwanza mkipoteza itawaletea shida, Yanga ya Sasa ata wakiondoka wachezaji kumi bado Wana kikosi Cha kupata matokeo Kwa Mtibwa.
Simba akikosekana Chama tu, MO anaanza kutukanwa mitandaoni Kwa matokeo mabaya ya timu.
Sisi ndio tunaocheza?kila mtu ana majukumu yake...ondoa hofu
 
Back
Top Bottom