Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Abdallah Kibadeni Vs Sunday Manara
Athuman China Vs Hamisi Gaga
Zamoyoni Mogela Vs Salum Kabunda
Abdallah Kibadeni Vs Sunday Manara
Athuman China Vs Hamisi Gaga
Zamoyoni Mogela Vs Salum Kabunda
Ilikuwa raha sana kuona jinso Mogella alivyokuwa anapambana na beki kama huyu. Manake ukienda vibaya jamaa anakutengua nyongaHuyu Salum Kabunda alikuwa anacheza rafu sana.
Duhh we Yanga sana1: Joseph Fungo/Hamisi Kinye
2: Yusuph Ismail Bana
3: Fredie Felix Minziro
4: Isiaka Hassan "Chukwu" /Ahamed Amasha
5: Athumani Juma Chama "Jogoo"
6: Juma Mkambi "General"
7: Rashid Hanzuruni
8: Charles Boniface Mkwassa
9: Makumbi Juma "Bongabonga"
10: Abeid Mziba "tekelo"
11: Celestine "Sikinde" Mbunga
Thuwen ally alimtungua Bernard madale mpira uko kati madale Analia kafuka uso akatunguliwa kingine
Anamzungumzia Rashidi Idd "Chama" au Athumani Juma "Chama" Jogoo?We wa juzi nini?, Mogela na Chama bwana
Zuberi magoha kiumbe mzito ubabe wa kinye na chama uliishaUnajua kwa nini juma mkambi alipewa jina la Genarali?, nae alifunga goli kwa shuti la kutokea katikati ya kiwanja likimwacha Mambosasa anagalagla
Kaka ukisika Chama na Mogela, basi ni Athumani Juma Chama Jogoo, muda wote kama anaangalia juuAnamzungumzia Rashidi Idd "Chama" au Athumani Juma "Chama" Jogoo?
Zuberi magoha kiumbe mzito ubabe wa kinye na chama uliisha
Ni yuleyule wa Mei 18, Said Swed ScudZuberi magoha kiumbe mzito ubabe wa kinye na chama uliisha