Huyo Bwana nakumbuka aliwahi kucheza na Mogella lakini kipindi hicho alikuwa akielekea ukingoni. Nakumbuka aliwahi kukabana na Mogella akapata majeraha ya kichwani. Morgan alifungwa bandeji kichwani. Sijui kama kulikuwa na mechi nyingine katika kumbukumbu zangu iliowakutanisha wawili hao.Kaka ukisika Chama na Mogela, basi ni Athumani Juma Chama Jogoo, muda wote kama anaangalia juu
Mgonjwa sijui yanga mnamsaidiajeKaka ukisika Chama na Mogela, basi ni Athumani Juma Chama Jogoo, muda wote kama anaangalia juu
Kwa magoha alichemkaHaaaaa, Kinye mtoto wa mjini kaka, maana unapigwa mkwara wa kutosha kabla hujafika golini
Yuko Yombo kwa Abiola anatia huruma kwa jinsi alivyo hivi sasaMgonjwa sijui yanga mnamsaidiaje
Mgonjwa sijui yanga mnamsaidiaje
Wanamwita Salum Kabunda NINJA km sikoseiIlikuwa raha sana kuona jinso Mogella alivyokuwa anapambana na beki kama huyu. Manake ukienda vibaya jamaa anakutengua nyonga
Mohamed mwameja
Shehan Rashidi
Max lengo
Steeven mapunda Garincha
Joseph kaniki kumba kumba
Emmanuel Gabriel
Madaraka suleiman
Dua said
Suleiman matola
Georgy masato
Pawasa
Simba noma sana piga yanga goli 3 warudi kigamboni maana mambo ya uturuki yamekufa