Wachezaji Mizigo Simba

List inaongezeka na
.shomari kapombe
Luis miqssone
Jean baleke
 
Uliwaonya Mapema Hawakusikia Mkichelewa CAF Mtatia Aibu Zaidi
 
Jaribuni kuplan rotation nzuri ya wachezaji kung'ang'ana na wachezaji flani lazima waanze aka first eleven never change itawagharim..eti lazima kibu aanze Kila game. Subirin trh 5 tunajipigia TU🤣
Niliwambia lakini wanathimbaa..🤣
 
Kwenye list namuongeza Jean Baleke, ni mzigo mzigo haswa, hakuna striker pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…