Wachezaji Raia wa Kigeni Waliopewa Uraia wa Tanzania Wana Maslahi gani kwenye Soka Letu?

Mambo ya Banana Republic haya!

Vimemo vimetembea kukidhi kanuni ya idadi ya wachezaji wa kigeni.

"Magarasa" tupu hayo si ajabu wameshinikizwa na watarudi kwenye uraia wao wa awali wakitemwa.

Ni soka letu kivyetuvyetu.
 
Guinea, Ghana na Ivory coast hawalipwi km wanavyolipwa hapa ndio maana wamefika hatua kuvua hata uraia wao ili walambe pesa za kutosha kuvimba mjini
 
Mambo ya Banana Republic haya!

Vimemo vimetembea kukidhi kanuni ya idadi ya wachezaji wa kigeni.

"Magarasa" tupu hayo si ajabu wameshinikizwa na watarudi kwenye uraia wao wa awali wakitemwa.

Ni soka letu kivyetuvyetu.
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…