lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
By Dick Dauda - March 8, 2018.
Baada ya Simba SC kutoka sare ya kufungana ya bao 2 kwa 2 dhidi ya Al Masry ya Misri, Tajiri wa klabu hiyo
amefanya kikao cha siri na wachezaji wa Simba SC.
Kikao hiko ambacho kilifanyika masaa machache baada ya kumalizika kwa mtanange huo hapa jijini Dar es salaam. Kilikuwa kinajumuisha.
wachezaji wote wa klabu hiyo huku ikiwatenga baadha ya viongozi wakuu wa benchi la Ufundi. Tajiri huyo wa Simba SC alioneka.
kuwa na mshawasha wa kuifanikisha klabu hiyo kuweza kufika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza baada ya kipindi cha muda mrefu.
Aliwataka wachezaji waweze kujitolea kwa kila hali kwenye mchezo ujao wa marudiano na kuwaahidi kuwa endapo wakiweza kupata ushindi wa namna yeyote ambao utawawezesha kutinga hatua ya makundi basi kila mchezaji wa klabu hiyo atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 10.
"Ni kweli tumeahidiwa kiasi cha milioni 10 kwa kila mchezaji, tutaenda kufanya kila liwezekanalo licha ya kuwa mpira una matokeo matatu." Alisema mmoja
wa mchezaji wa Simba SC aliyekuwamo kwenye kikao hiko huku akiomba jina lake lisiwekwe hadharani.