Wachezaji Simba sc waahidiwa mil 10 kila mchezaji wakishinda mechi ya marudiano

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
904
By Dick Dauda - March 8, 2018.

Baada ya Simba SC kutoka sare ya kufungana ya bao 2 kwa 2 dhidi ya Al Masry ya Misri, Tajiri wa klabu hiyo
amefanya kikao cha siri na wachezaji wa Simba SC.

Kikao hiko ambacho kilifanyika masaa machache baada ya kumalizika kwa mtanange huo hapa jijini Dar es salaam. Kilikuwa kinajumuisha.

wachezaji wote wa klabu hiyo huku ikiwatenga baadha ya viongozi wakuu wa benchi la Ufundi. Tajiri huyo wa Simba SC alioneka.

kuwa na mshawasha wa kuifanikisha klabu hiyo kuweza kufika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza baada ya kipindi cha muda mrefu.

Aliwataka wachezaji waweze kujitolea kwa kila hali kwenye mchezo ujao wa marudiano na kuwaahidi kuwa endapo wakiweza kupata ushindi wa namna yeyote ambao utawawezesha kutinga hatua ya makundi basi kila mchezaji wa klabu hiyo atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 10.

"Ni kweli tumeahidiwa kiasi cha milioni 10 kwa kila mchezaji, tutaenda kufanya kila liwezekanalo licha ya kuwa mpira una matokeo matatu." Alisema mmoja

wa mchezaji wa Simba SC aliyekuwamo kwenye kikao hiko huku akiomba jina lake lisiwekwe hadharani.

 
Hata waahidiwe ndege hawawezi kushinda! Mwaka 1993 dhidi ya kina Bolizozo waliahidiwa gari aina ya KIA bado walishindwa tena hapa hapa shamba la bibi!
 
wanacheza lini hao mikia?
 
Offer nzuri ila ngumu kumeza
 
Naona vyura wa jangwani wameona nongwa hiyo ahadi nono, inawezekana kabisa kwa simba hii.

Makhirikhiri wamewala tigo hahahaa.
 
Wachezaji wa Bongo ukiwaahidi hela ni kama umewapa tiketi ya kufungwa
 
Reactions: Gef
Hizo pesa ni kuwatia presha tu Wachezaji. Na wala siungi mkono. Ntawapa mfano hai.

Mwaka 1993 katika Fainali ya Kombe la CAF, Simba Mnyama akiwa Taifa huku kila mchezaji alihaidiwa gari aina ya KIA na Mfadhili wa timu hiyo ndugu Azim Dewji iwapo kama wataibuka na Ushindi lakini walitota nyumbani dhidi ya Stella Abidjan ya Bolizozo.
 
Naona vyura wa jangwani wameona nongwa hiyo ahadi nono, inawezekana kabisa kwa simba hii.

Makhirikhiri wamewala tigo hahahaa.
Mkuu unapenda mambo ya kuliwa tigo, au ndiyo wewe unayetoaga Huduma za tigo kwa wachezaji was thimba ?
 
Mmewafanyaaa mandondooocha mwachekuhaidi nyumbaniwashindemnahaidiugeniniiiifyuuuuuuuuuuuuu
 
labda kama dakika 90 zote itakuwa ya kupigiana penati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…