Wachezaji Simba SC wapewa semina elekezi kabla ya kupaa A.Kusini

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
66756949_1322632591229086_2706330936991023104_o.jpg

66524839_1322632691229076_664503158055108608_o.jpg

Wachezaji na benchi la ufundi wakipewa semina elekezi kuhusu malengo ya club kwa msimu ujao.

Simba ambaye anatarajiwa kuwa bingwa mara 10 mfululizo anajiandaa kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi
 
Hao waliochagua kambi iwe SA wakati wakijua kule miezi hii ni ya baridi wamewaza nn? Wanajua kabisa kuwa hali ya hewa ya maeneo mengi Tz ni joto.
View attachment 1153251
View attachment 1153252

Wachezaji na benchi la ufundi wakipewa semina elekezi kuhusu malengo ya club kwa msimu ujao.

Simba ambaye anatarajiwa kuwa bingwa mara 10 mfululizo anajiandaa kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi
 
Hao waliochagua kambi iwe SA wakati wakijua kule miezi hii ni ya baridi wamewaza nn? Wanajua kabisa kuwa hali ya hewa ya maeneo mengi Tz ni joto.
Yani hiyo ndo Target yao kucheza mazingira ya baridi kwani, wachezaji walipata tabu Sana wakati wanaenda kucheza na Timu za kiarabu kipindi kile Cha makundi kwani kipindi kile uarabuni kulikua na baridi.
 
Back
Top Bottom