OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 1153251
View attachment 1153252
Wachezaji na benchi la ufundi wakipewa semina elekezi kuhusu malengo ya club kwa msimu ujao.
Simba ambaye anatarajiwa kuwa bingwa mara 10 mfululizo anajiandaa kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi
Wamehudhuria wangapiWachezaji wachache sana wamehudhuria hiyo semina. Wengine hawaendi kambini South Africa?
Yani hiyo ndo Target yao kucheza mazingira ya baridi kwani, wachezaji walipata tabu Sana wakati wanaenda kucheza na Timu za kiarabu kipindi kile Cha makundi kwani kipindi kile uarabuni kulikua na baridi.Hao waliochagua kambi iwe SA wakati wakijua kule miezi hii ni ya baridi wamewaza nn? Wanajua kabisa kuwa hali ya hewa ya maeneo mengi Tz ni joto.
Kuna tatizo?Bingwa mtarajiwa mara 10 mfululizo ?
Wawa, Kapombe, Mkude, Manula, Kagere, Juuko,Chama,n.k hawaonekani hapo.Wamehudhuria wangapi
In Zahera voice, Yeye hadi CAF analalamika lalamika tuWale marefa wenu wa mpesa nao mbona hawakuhudhiřa semina?