M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jul 15, 2019 #21 Uphill said: Wawa, Kapombe, Mkude, Manula, Kagere, Juuko,Chama,n.k hawaonekani hapo. Click to expand... Kwani hii picha imechukua ukumbi wote mkuu! au roho ya kukosoa!
Uphill said: Wawa, Kapombe, Mkude, Manula, Kagere, Juuko,Chama,n.k hawaonekani hapo. Click to expand... Kwani hii picha imechukua ukumbi wote mkuu! au roho ya kukosoa!
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Jul 15, 2019 #22 kapalamsenga said: Hao waliochagua kambi iwe SA wakati wakijua kule miezi hii ni ya baridi wamewaza nn? Wanajua kabisa kuwa hali ya hewa ya maeneo mengi Tz ni joto. Click to expand... Nchi baridi ndio inayofaa kwa mazoezi.
kapalamsenga said: Hao waliochagua kambi iwe SA wakati wakijua kule miezi hii ni ya baridi wamewaza nn? Wanajua kabisa kuwa hali ya hewa ya maeneo mengi Tz ni joto. Click to expand... Nchi baridi ndio inayofaa kwa mazoezi.
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 5,960 Reaction score 9,978 Jul 15, 2019 #23 Wakuu okwi ameachwa?