Wachezaji sita wa kimataifa wa simba waitwa kwenye Timu zao za Taifa, wenzetu vipi?

kasulavenance

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2020
Posts
759
Reaction score
914
Wachezaji sita wa Simba wa kimataifa wameitwa kwenye timu zao za Taifa. Wachezaji wa Yanga imekuwaje hata hawachezei timu zao za Taifa. Hii ina maana gani kwa soka la Bongo? Wamenunua makapi au bado hawajakomaa, wataitwa wakikomaa au Yanga wamenunua mizigo!!!
 
Muwe mnaangalia na nchi zenyewe walipotoka hao wachezaji.



Calinyo hata angekuwa katokea Nchi ya Kenya au Tanzania asingeweza kumuweka benchi kahata au Bocco.Hata Bongo asingeitwa Timu ya Taifa.Labda kwenye maonyesho ya mavazi kwa Vunja Bei
 
Kwani Simba inawachezaji sita tu wakigeni? Kama ina zaidi ya wachezaji sita kwanini hao waliobakia hawajaitwa? Je ni makapi au vipi
 
Calinyo hata angekuwa katokea Nchi ya Kenya au Tanzania asingeweza kumuweka benchi kahata au Bocco.Hata Bongo asingeitwa Timu ya Taifa.Labda kwenye maonyesho ya mavazi kwa Vunja Bei
Ndyaragije ungemsikia jana alivyomzungumzia Carlos.
Tatizo wewe hujui mpira
 
Fraga majeruhi, Mugalu hayupo fiti, wawa kajiuzulu timu ya taifa na Morison hayupo fit
Wewe ndio daktari wa timu zao za taifa? Morrison na Mugalu wamecheza jana mechi ya kirafiki halafu wewe unasema hawako fiti kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…