Wachezaji soka wanaolipwa pesa ndefu.. top.10

Wachezaji soka wanaolipwa pesa ndefu.. top.10

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1.messi
2. Ronaldo
3. Neymar

Wanafuata kuna gap kubwa sana kutoka 95 hadi 38.
20200326_202108.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbape, Raheem sterling na Lewandowsky walistahili wawepo namba 3 baada ya Messi na roneldo. Huyo neimar hana msaada wowote kwenye timu zake
 
Life isn't fair mi nawaza nijichange miaka mitano ijayo ninunue hata ka gari ka mil5 kwa mtu.
Wakati huo huo Tena dunia hii hi kuna nyumbu wanalipwa 💷 118mil
🤐🤐🤐🤐🤐🤐
Fuuck life.
 
Back
Top Bottom