Wachezaji soka wanaolipwa pesa ndefu.. top.10

Mbape, Raheem sterling na Lewandowsky walistahili wawepo namba 3 baada ya Messi na roneldo. Huyo neimar hana msaada wowote kwenye timu zake
 
Life isn't fair mi nawaza nijichange miaka mitano ijayo ninunue hata ka gari ka mil5 kwa mtu.
Wakati huo huo Tena dunia hii hi kuna nyumbu wanalipwa πŸ’· 118mil
🀐🀐🀐🀐🀐🀐
Fuuck life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…