Wachezaji timu ya Yanga wagoma kufanya mazoezi

DUNIANI KOTE MPIRA NI BIASHARA HAYA WEWE AKILIMALI LETE MAJINI YAKO TULIPE MSHAHARA
 
Wapi Frank Chacha?
Wapi Mzee Akilimali?
Yani hawa watu hapa ndo huwa nawapuuza.
Mi niko tayari tumpe timu Manji bure kabisa
 
Shauri zao si ajira zao, wapuuzi!
 
Hiyo ndiyo inaitwa ' collective bargain' ina nguvu kuliko bomu la nuklia, na ndiyo iliyo mkimbiza super coach morinho pale darajan
 
Mechi yao na Simba ni lini? Wangeweza kupigwa 10 O'clock
 
Alooo kwa hali hii iliyopo kwa sasa hatukubali kucheza na simba!
 
Wapi Akilimavi njo ulipe stahiki za wachezaji wa yanga afrika mkataba wa na TBL Umeisha Yanga Yetu Imewasaidia kambi na usajili njo umlipe hata oscar jushua tu peke yake...si uliwahi kusema una 500 million za usajili
 
Hapo wameshikwa pabaya maana wasipowalipa tu wanauza mechi na hapo ndipo mnyama anapowaacha... mwakani mchangani panawahusu Kufa kufaana
 
eml
Mmemlipa lini yule mama hadi Leo anawalani kwa pesa yake ya chapatu kama familia ya marehemu Mafisango pesa ya rambirambi na ndio maana amfanikiwi kwa kudhurumu watu
 
DUNIANI KOTE MPIRA NI BIASHARA HAYA WEWE AKILIMALI LETE MAJINI YAKO TULIPE MSHAHARA
Mimi ni Simba lakini kwa hili nashauri Yanga wavamie kwa Akilimali wakidai awalipe wachezaji ili liwe funzo kwa watu kama Kilomoni. Mi najua Manji kafanya makusudi ili Yanga wajue umuhimu wake
 
eml

Mmemlipa lini yule mama hadi Leo anawalani kwa pesa yake ya chapatu kama familia ya marehemu Mafisango pesa ya rambirambi na ndio maana amfanikiwi kwa kudhurumu watu
Jifunze kuandika kiswahili
Chapatu
Anawalani
Kudhurumu
Halafu rudi ujaribu tena kuandika unachokusudia. Sio wote wanaelewa kilugha.
 
Jifunze kuandika kiswahili
Chapatu
Anawalani
Kudhurumu
Halafu rudi ujaribu tena kuandika unachokusudia. Sio wote wanaelewa kilugha.
Heri yako wewe mswahili ila nashangaa mswahili gani anaipenda Simba au ulikuwa mfanyakazi wa Ramesh Patel
 
Heri yako wewe mswahili ila nashangaa mswahili gani anaipenda Simba au ulikuwa mfanyakazi wa Ramesh Patel
Huyo mnayempigia magoti kwani ni mkurya?Si ndio hao hao kina Ramesh Patel?Au naye anaipenda Simba???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…