Wachezaji Tottenham kuwalipa mashabiki

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Wachezaji wa Timu ya Tottenham wametoa taarifa kuwa watawarudishia mashabiki wao gharama za ticket baada ya kushuhudia wakifungwa kwa goli 6 na Newcastle

Timu hiyo tayari imemfukuza Kocha wa muda.

Levi ambaye ni mmoja wa washirika wa timu amesema kilichotokea wikiendi hii hakitasahaulika.

Mashabiki waliumizwa sana


Je Man U nao warudishe pesa baada ya kupigwa 7
Kutolewa na Sevilla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…