Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

Hivi ile kamati ya masaa 72 ina wajumbe wangapi na mwenyekiti wake ni nani vileee.
 
Kwa kawaida match zinazo simamiwa na CAF watunza hizo taarifa wanawajulisha au kuwakumbusha timu husika kabla ya match inayofuata baada ya kadi ya tatu, Je wahusika hapa bongo walifanya hivyo kwa Kagera sugar?
 
Anatafuta kiki tu ktk hili mbona madudu kibao TFF hayasemi mfano timu inanunuliwa ichezwe mechi 2 uwanja mmoja kwa mwaka na show inasimamiwa na TFF vp Azam fc waliyofanyiwa wamekaa kimya aaah kampeni
 
Ni akina nani wanaunda hii kamati ya saa 72? Hapana shaka ni genge la wahuni na waganga njaa. Kwa akili yao finyu wanadhani ni rahisi kuionea Kagera Sugar ki-hivyo?
 
Kwani rekodi za tff zinasemaje juu ya suala hili....!!??

Kama Simba alipewa hizo point tatu kwa mujibu ww rekodi halali za tff tatizo lipo wapi.....!!???

Kama rekodi za tff ndio zilizotoka kwa waamuzi na makamisaa wa mchezo....ambao kisheria ndio kazi yao.....utata wa kadi hizo za njano unatoka wapi..!!??

Ina maana tff hawana rekodi za mechi isipokuwa za Simba na Yanga tu.....!!?? Sitaki kuamini hili......

Kama tff wameshindwa kutunza kumbu kumbu za mechi husika....sasa hao Simba wataamin vipi huo ushahid wanaoukusanya....ambao kimsingi ni kama maoni yao.....!!!??

Mimi nadhani tff waache porojo....

Waache kuyumbisha soka letu.......
 
Uyu shafii fala sana yani anahangaika na simba unafikiri nini sijui kwani uko TFF hawana taarifa au..
 
Waamuzi wote wanasema akupewa,ila mwamuzi wa kati peke yake anasema aliimpa siyo bure huyu simba kwenye swala la tigopesa wako vizuri sana
 
Hivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
Huu ni utetezi wakitoto sana,wanadai pointi zao walizozitolea jasho mbuzi wewe
 
simba ndo inaweka rekodi za wachezaji wa timu nyingine?
 
Huu ni utetezi wakitoto sana,wanadai pointi zao walizozitolea jasho mbuzi wewe
Ukiona mwanamke... Anakata viuno sana kwenye sherehe sio yake na hajaalikwa...ujuwe anamatatizo..sio bure...manataka ubingwa..kwa kununuwa kesi ya kagera.. Ili muendelee kututia aibu...4G
 
Sentensi nyingine zote umeongea maneno kuntu sana, isipokuwa tu hilo la kusema Shaffih ni Yanga, hapo imechemka jombaa nadhani humjui vizuri Shaffih Dauda!
 
Nao hao marafiki zako waarabu tuliwapiga kimoko taifa, hatukutoka bure. Barca walipigwa 4 na PSG sembuse Yanga.
Hivi.kwnn hamkomi tu?kila mwaka mkikutana na mwarabu mnakula 4 G...hvi mnaona raha gani kupasuliwa marinda na muarabu kila mwaka?nyie PEREGE FC. Au ndy tuseme mshakuwa SUGU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…