Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

Hivi.kwnn hamkomi tu?kila mwaka mkikutana na mwarabu mnakula 4 G...hvi mnaona raha gani kupasuliwa marinda na muarabu kila mwaka?nyie PEREGE FC. Au ndy tuseme mshakuwa SUGU?
wanaona rahaaa kupigwa vinne bado wanasaka ubingwa wakakutane na bwana lao
 
Report ya kamisaa inasema mohamed fakh alifanyiwa sub dakika ya 67 wakati report ya Simba inasema mohamed fakh alipata kadi ya njano dakika ya 77

Utata ndo uko hapo hadi muda huu
 

Kumbe na Wewe ni mmoja wa Wafuasi wa Mnafiki Shaffih Dauda? Simba SC tunasubiri tu tupokwe hizo points ili tuharibu Ligi ya VPL kabisa halafu tuanze sasa kutiririka kutoa yale ya ndani msiyoyajua kuhusu TFF na hapo ndipo mtajua kuwa Simba hatutanii. Nyie Wajumbe mliopo hapo Protea Mkutanoni OLE WENU muipoke Simba Sports Club hizo points. Tumeshachoka kunyanyaswa na sasa kama noma na iwe noma!
 
Simba walipigwa na libolo 5g mnataka mshinde mwende wapi nyie vidomodomo na kiroho papo. Nyie wakufungwa na kagera, toto.,Mbao fc figisu ndo saizi yenu.
 
samba kama mnataka ubinga si mngewafunga kagera na toto timu mbovu mnataka ushindi wa mezani
 
Kwa hiyo tff hawana watunza kumbukumbu wao wanansikiliza Manara tu
 
Simba walipigwa na libolo 5g mnataka mshinde mwende wapi nyie vidomodomo na kiroho papo. Nyie wakufungwa na kagera, toto.,Mbao fc figisu ndo saizi yenu.
Ndy matokeo ya kukata viuno sherehe ya jirani..sherehe yako inakushinda.....mnapambana kabisa mkafumuliwe marinda na muarabu mwakani...na hakuna muarabu anayekupiga 2... Ni 3 G kwenda mbele. 4 G..
 
Utaitofautishaje VPL na ndondo cup.wakati hata kumbukumbu hawana.badilikeni.haya mambo utayakuta Tanzania tu.
 

Shafii namfaham ni mdau wa simba bila kificho. Ila huyu jamaa hana ushabiki maandazi, wewe fatilia vipindi vyake cloud utathibitisha hilo hususan kwenye mijadala ya ubabaishaji ya simba na yanga kama hii. Ila simba inataka iwe mvua iwe jua lazima wapate ubingwa mwaka huu ila haitawezekana kwa maarifa haya ya kishamba.
 
Mashabiki wa Yanga wanaubishi wa matusi hovyo sana

Kijana anayejivunia matusi na ngumi ujue hajitambui
 
Kama kuna mwenye matokeo ya YANGA HUKO algeria naomba mnijuze wakuu.....maana aibu yetu wote hii
Simba kashinda Tabora kamfunga Rhino mbili bila..mmepata points tatu na magoli mawili
 
Shafii Dauda ni mikia mwenzenu, ukiona hadi ameshindwa kudanganya basi nafsi inamsuta.

Hakuna ubingwa wa mezani chezeni mpira matokeo yanapatikana uwanjani na si mezani.
Shaffih ana kisirani bado alipigwa chini kuwa mjumbe simbani!
 
Hivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
Ina maana siku hizi Simba imechoka kiasi hicho cha kufikia hatua ya kulilia point za mezani? Haki ya nani mpira wa bongo unashuka hadhi,, yaani hawa ndo tuwatume wakatuwakilishe ughaibuni kwa mtindo huu? Hebu chezeni mpira bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…