Nchi za ulaya hata wanapokupa uraia wanakuambia wanaelewa kuwa "your birth country" inaweza kukuhitaji katika timu ya mpira au kwenda kupigana vita, hawawezi kukuzuia ukiamua kufanya hivyo.Hii ni tofauti kidogo na wenzetu wazungu wakati wao wakitamani kuitwa timu zao za taifa kwetu Gondwanaland(Afrika) ni tofauti
Zikibaki siku kadhaa Kombe la Mataifa Huru la Afrika kuanza kule Gabon baadhi ya Wachezaji wa Timu za Taifa wamegoma kujiunga na timu Zao za Taifa kwa Sababu ambazo hazina mashiko.
Je kugoma huku ni kukosa Uzalendo kwa Wachezaji wa Kiafrika juu ya Nchi zao au kuna lingine la Ziada?
Wachezaji wa nchi gani wamegoma?..mgomo nini 'posho' kama kawaida yao?Mkuu ipe nyama kidogo hii post yako. Wachezaji gani waliogoma?Ungetupa majina na sababu walizotoa ili tuchangie kwa ufanisi na uhakika zaidi.
Wanahofia kupoteza namba ktk vilabu vyao CAF walishauriwa michuano ya mataifa ya afrika waihamishie mwezi june wamegoma sasa jamaa wameona ni bora kulinda ugali waoHii ni tofauti kidogo na wenzetu wazungu wakati wao wakitamani kuitwa timu zao za taifa kwetu Gondwanaland(Afrika) ni tofauti
Zikibaki siku kadhaa Kombe la Mataifa Huru la Afrika kuanza kule Gabon baadhi ya Wachezaji wa Timu za Taifa wamegoma kujiunga na timu Zao za Taifa kwa Sababu ambazo hazina mashiko.
Je kugoma huku ni kukosa Uzalendo kwa Wachezaji wa Kiafrika juu ya Nchi zao au kuna lingine la Ziada?
Issue ni muda unaofanyika mashindano ligi za ulaya zinaendelea na kama upo first eleven unaweza kukosa namba kama ni mchezaji wa kawaida,watu kama Okocha,Kanu,Drogba,Toure,Etoo walikua wakirudi wanazikuta nafasi zao.John Obi Mikel alienda kucheza Olympic mpaka leo anachoma mahind Darajani ingawa mwenyewe anadai hajutii kwenda OlympicsNahisi kuna harufu ya ufisadi kwenye posho za wachezaji wanazotakiwa kupewa wanapoenda kwenye team ya taifa. Hili tatizo limekua sugu sana kwa Cameroon, ile ni haki yao. Ni system mbovu sana kuwa na ufisadi au kuchelewesha posho za wachezaji maana si kweli kwamba zinachelewa kuifikia mamlaka husika. Africa tuna matatizo mengi sana.
Mkuu hao ni wachezaji kutoka CAMEROON.Mkuu ipe nyama kidogo hii post yako. Wachezaji gani waliogoma?Ungetupa majina na sababu walizotoa ili tuchangie kwa ufanisi na uhakika zaidi.