Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Farid MusaKumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba
Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?
Anacheza wapi na anavaa kitambaa?..Mbona ujataj amid mao mkami uyu ni first eleven na kitamba cha ucampten anavaa siku moja moja..sio kwa mabaya na mazuti tajeni
Huyu jamaa angekomaa wakati ule, nina uhakika kwa sasa angekuwa anajilia tu mafao yake huko ughaibuni huku akiwa na watoto wake machotara!Kuna wakati umri unaenda inabidi ukubali kwenda kusugua bench nje ya nchi kwa ajoli ya masilahi mapana ya maisha tako ya baadae
Ila mpaka Leo cjawah kupata jibu non kilichomrudisha Boban kutoka darmark kurudi bongo
Au alikuwa ameimis ile mibangi yake?
bora benchi la mbele kuliko la bongo.....Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani.
1: Shaban Idd chilunda
2: Eliud ambokile
3: Kichuya
4: Adam salamba
Wengine unaweza kuongeza idadi. Tunakwama wapi Watanzania?