joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hawaa ndio wakenya ambao miaka mingi hulalamika na kuilaumu Tanzania kwa kila kitu.
Wakenya miaka yote hujiona wao wapo sahihi na waafrika wengine wote hawapo sahihi, kwamba wakenya wanaonewa Mara zote.