RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
Wachezaji wa Liverpool, wameunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani, baada ya hivi karibuni Mmarekani mweusi, George Floyd, kuuawa kikatili na Askari Polisi weupe wa nchi hiyo kwa kumkandamiza na goti sehemu ya shingo yake.
Wachezaji wa Liverpool, akiwemo James Milner, Virgil van Dijk na Andy Robertson, wame-tweet picha za kikosi chao, wakiwa wamepiga magoti kuzunguka duara la kati la uwanja wa Anfield, huku wakiambatanisha na ujumbe unaosomeka 'Unity is strength #BlackLivesMatter'.
Liverpool na watu wengi duniani, wanapinga ubaguzi wa rangi unaoendelea nchini Marekani na ulimwenguni kote, wakiamini binadamu wote ni sawa na wana haki ya kuishi.
#Liverpool #BlackLivesMatter', #RIPGeorgeFloyd #JamesMilner #VVD #Michezo #AzamSports2 #AzamSportsHD