Nimeona sana. Hata kama ni kale ila hamjambo lakini.
Kwanini MtesekeNimeona sana. Hata kama ni kale ila hamjambo lakini.
Maana ni Historia hiyo na inapatikana kwa Mikia pekee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haijalishi Mtani.Gazeti limeandikwa ata sitarajii kuanza shule ya msingi analileta leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuteseki ila ndio tumeuliza tu. [emoji3][emoji3]
Izo habar sizijui kwa kuwa bado nilikuwa mdogo uyo mleta habar ndo asemeHaijalishi Mtani.
Museme kwa nini ikawa hivyo au ndio utasema hujui. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mwaka huu akili zitawakaa vzriiiiHatuteseki ila ndio tumeuliza tu. [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] Nazjaz kajua kuwaweza lol.Izo habar sizijui kwa kuwa bado nilikuwa mdogo uyo mleta habar ndo aseme
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa iv nishakuwa mkubwaHalafu Mtani kumbe we katoto. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mi niko la naniliu hapo. [emoji85][emoji85]
Hahahaaaa. Hamna kitu ka icho banaa
Endeleen kupiga porojo uku wakt timu yenu haielewekHahahaaaa. Hamna kitu ka icho banaa
ππππ mnaliruka swali letu lakini Mtani.Mtani leo umeamka vibaya.. Ongelea bakuli mtaacha Lini ?
Tunajua ni mapito tu haya.
Uzi umetutaka tujadili habari zilizoandikwa hapo kwenye gazetiMtani kwani uzi unasemaje lakini? [emoji12][emoji12]
Naona uko nje ya mada. [emoji85][emoji85][emoji85]
na kapteni wake mmoja hiviHata yule serial assistant kocha wao muongeaji mno ndiyo michezo yao.
Hata yule serial assistant kocha wao muongeaji mno ndiyo michezo yao.
Namuona Dwight Yorke na nduguye,mwaka gani hapa kama sio 1990s
Waliichafua clubUmeona sawa kabisa Mtani.