Sana yaani Mtani. Japo nasikia mpaka sasa bado mambo yanaendelea eti? [emoji85][emoji85]Waliichafua club
Hayajawa confirmedSana yaani Mtani. Japo nasikia mpaka bado mambo yanaendelea eti? [emoji85][emoji85]
Usisahau lisemwalo lipo Mtani.Hayajawa confirmed
Hapana ni habari ambazo nimeziona kwa haraka kwasababu zimeambatanishwa na pichaHahahaaa. Hivyo we ukaamua uchague za Man U. lol
Hapana ni habari ambazo nimeziona kwa haraka kwasababu zimeambatanishwa na picha
Sent using unknown device
Nzito sana sijui alikua anazungumziwa kipa yupi?Kwa jinsi habari ilivyo nzito ni lazima ile ya kina Yorke uione kwa haraka Mtani. [emoji3]
Habari za 1959 zinakuaje na uzito??Hebu hukoo. Hiyo ya Kipa ina uzito gani sa hapo?
Soma vizuri kwenye maandishi mekunduHaya bana Mtani. Ila sio ya 1959 hiyo
Wakati utaongeaUsisahau lisemwalo lipo Mtani.
Mtani bana hivyo kina Yorke wamecheza mpira 1959
Ni PM mtani!Mtani bana hivyo kina Yorke wamecheza mpira 1959
Hiyo ni 1999. Njoo nikupe miwani Mtani.
Sio la kimichezo.. ni udaku tu.í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ mnaliruka swali letu lakini Mtani.
Makambo kakosa penati huko. Aache kumuwaza Kagere,level zake za Ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanikera. Acha tu Mtani.Makambo kakosa penati huko. Aache kumuwaza Kagere,level zake za Ulaya
Alikuwa Thomas Karume huyu,mashabiki walienda na sha uwanjani.Kumbe mibwabwa!!!!!
tafuteni mmojaMna bahati nyie bakuli la mtu mmoja. Sisi ni watu wengi.