Wachezaji wa Simba, kwanini mnamfanya Mo asifurahie maisha yake ujinga wenu?

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!" _ Mo

My Take.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tajiri namba ngapi Africa sijui, na unawaza kujinunulia gari, ukiulizwa kwanini, unaitaja SimbaSC

Wewe si ndo unatajwa Forbes una hela wewe?Mbona unajikuta unaifanyia hisani SimbaSC wewe?

Si ulikuwa na team yako wewe?si uende ukapate furaha huko?

Boss Mbuzi[emoji706][emoji706][emoji706]

Mr mkiki.
 
Mo endelelea kuwapanga tu[emoji3]
"Ningenunua shati jipya kwa ajili yangu, ila nimeona niwalipe kwanza mishahara yenu, maisha yenu kwanza kabla ya shati langu"

Boss Mbuzi, MjanjaMjanja, Mkosa Akili[emoji706][emoji706][emoji706] yule
 
"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!" _ Mo

My Take.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mr mkiki.

Yan uyu kabacholi simba ikifanya vibaya anaitilisha huruma ni mhuni tuu,kwahiyo anatakakaje sasa??akitolewa atajiuzulu😂
 
IMG-20210515-WA0014.jpg
 
"Ningenunua shati jipya kwa ajili yangu, ila nimeona niwalipe kwanza mishahara yenu, maisha yenu kwanza kabla ya shati langu"

Boss Mbuzi, MjanjaMjanja, Mkosa Akili[emoji706][emoji706][emoji706] yule
Unadhani ile mishahara ya kina Kagere, Bocco, Kahata analipa GSM?!
 
"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!" _ Mo

My Take.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tajiri namba ngapi Africa sijui, na unawaza kujinunulia gari, ukiulizwa kwanini, unaitaja SimbaSC

Wewe si ndo unatajwa Forbes una hela wewe?Mbona unajikuta unaifanyia hisani SimbaSC wewe?

Si ulikuwa na team yako wewe?si uende ukapate furaha huko?

Boss Mbuzi[emoji706][emoji706][emoji706]

Mr mkiki.

Hawa watu mbona mnashindwa kuwaelewa enyi ndugu zangu? Ndiyo maana ushabiki wa mpira wa Bongo nimejiondoa siku nyingi! Wanacheza na vichwa vya watu hawana lolote. Maslahi yao ndiyo kila kitu haya mengine ni porojo tu.
 
"dugu zagu mnadhani mimi wa kukosa 20 billion,? Kaangslieni Forbes"

Aliskika kanjibai mmoja kutoks ukoo wa mwamedi
 
Mod umelekebisha mada bado tena umekosea nini tatizo
 
Tunaona basi jipya la timu ya Simba SC yenye bima aina ya Comprehensive iliyokatwa kwa thamani ya TZS. 4,643.87, Bima hiyo ilimekatwa kwa MO ASSURANCE COMPANY LTD.

Mamlaka husika ebu fuatilieni thamani ya hii Bima.
IMG-20210617-WA0021.jpg
Screenshot_20210617-192911.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefika wapi watopolo kuhusu kale kahofu kenu kakupeleka timu uwanjani june 3?
 
Back
Top Bottom