"Ningenunua shati jipya kwa ajili yangu, ila nimeona niwalipe kwanza mishahara yenu, maisha yenu kwanza kabla ya shati langu"Mo endelelea kuwapanga tu[emoji3]
Yan uyu kabacholi simba ikifanya vibaya anaitilisha huruma ni mhuni tuu,kwahiyo anatakakaje sasa??akitolewa atajiuzulu😂"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!" _ Mo
My Take.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mr mkiki.
Tunataka bil 20 mezani,ila manunu fc ni mazuzu sana.😂😂yupo kwa kupiga tuMo endelelea kuwapanga tu[emoji3]
Mjanja mjanja sana,,aeke bil 20 kwanza afu aende akanunue ilo ferrari lake😂😂Hakuna mtu pale
Mana utani wa ngumi 😅😅😅
Unadhani ile mishahara ya kina Kagere, Bocco, Kahata analipa GSM?!"Ningenunua shati jipya kwa ajili yangu, ila nimeona niwalipe kwanza mishahara yenu, maisha yenu kwanza kabla ya shati langu"
Boss Mbuzi, MjanjaMjanja, Mkosa Akili[emoji706][emoji706][emoji706] yule
Hawa watu mbona mnashindwa kuwaelewa enyi ndugu zangu? Ndiyo maana ushabiki wa mpira wa Bongo nimejiondoa siku nyingi! Wanacheza na vichwa vya watu hawana lolote. Maslahi yao ndiyo kila kitu haya mengine ni porojo tu."Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!" _ Mo
My Take.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tajiri namba ngapi Africa sijui, na unawaza kujinunulia gari, ukiulizwa kwanini, unaitaja SimbaSC
Wewe si ndo unatajwa Forbes una hela wewe?Mbona unajikuta unaifanyia hisani SimbaSC wewe?
Si ulikuwa na team yako wewe?si uende ukapate furaha huko?
Boss Mbuzi[emoji706][emoji706][emoji706]
Mr mkiki.
Nunua lako ndugu kutolea macho mali za wanaume wenzio utaumiza moyo wako tu.Tunaona basi jipya la timu ya Simba SC yenye bima aina ya Comprehensive iliyokatwa kwa thamani ya TZS. 4,643.87, Bima hiyo ilimekatwa kwa MO ASSURANCE COMPANY LTD.
Mamlaka husika ebu fuatilieni thamani ya hii Bima.View attachment 1821875View attachment 1821876
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabariki ukwepaji kodi ya Serikali, nadhani unalo tatizo kubwa!Nunua lako ndugu kutolea macho mali za wanaume wenzio utaumiza moyo wako tu.