Wachezaji wa Simba SC, ndio chanzo cha Taifa Stars kupoteza Mchezo

Tumeanza lawama za kijinga. Mimi ningekuwa Manula na Tshabalala ningewaachia litimu lenu la kijinga. Stupid. Sijui kwanini na wenyewe wanakubali kuingia kwenye timu ya majungu.
Tena km Manulaa na shabalala wananangwa kila kukichaa ila wakiitwa wamo tyuuh, kwann wasikatae eboooh
 
Tena km Manulaa na shabalala wananangwa kila kukichaa ila wakiitwa wamo tyuuh, kwann wasikatae eboooh

Je ni kweli au sio kweli

Mbona players wa Yanga hawanangwi
 
Wife naye anasema hivi hivi. Nikawaza wanawake na mpira wapi na wapi. Mimi mwanayanga na wife ni kama wewe
 
Chama nae kukaa bench ndo sababu ya Zambia kutoa sare hahahaaaaaaa kwel wachezaj wa Simba ni mzigo

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
hata mm nashangaa kwanini wanaendelea kuwapanga hao wachezaji

Ni upumbavu wa Hal ya juu
ukiwatoa hao ndo utawafunga Morocco , unafiki ndo utatufanya tubakie hapa tulipo , hatukufunga goli hata moja ila unaenda walaumu walindaji pekee, kwan mlienda kulinda tu kule ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
..
 
Yaani mimi nilijua tu, hawa wachezaji wanaokaa benchi wote mzigo ndio maana hawapo first eleven.
Yaani promise ihenacho ni mzigo pale nigeria ndio maana hayupo first eleven.
Na hajachezeshwa lwo
Huyo jamaa sio ni majeruhi
 
Nakubaliana na wewe. Kwa mfano Manula aliruhusu mabao mawili ya kizembe ndiyo maana tukawa wa nne; huenda tungekuwa wa tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…