Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kutokana na ushindi ambao timu ya Simba Sports Club imejipatia huko nchini DRC, hapo Jana,na pia kufuatia maneno yaliyobuniwa kwenye t-shirt zao ya "Visit Tanzania', Mheshimiwa Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amesema huo ni Uzalendo wa hali ya juu ambapo amesema kuwa hadi sasa Watu zaidi ya Million miatano kote Duniani wamekuwa wakifuatilia maandishi ktk jezi hizo.
MY TaKe.Yanga jifunzeni kwa Simba kuwa wabunifu siyo mnatuletea Ma t-shirt marefu km madela.
MY TaKe.Yanga jifunzeni kwa Simba kuwa wabunifu siyo mnatuletea Ma t-shirt marefu km madela.