Wachezaji wa Simba waliletea taifa heshima

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Kutokana na ushindi ambao timu ya Simba Sports Club imejipatia huko nchini DRC, hapo Jana,na pia kufuatia maneno yaliyobuniwa kwenye t-shirt zao ya "Visit Tanzania', Mheshimiwa Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amesema huo ni Uzalendo wa hali ya juu ambapo amesema kuwa hadi sasa Watu zaidi ya Million miatano kote Duniani wamekuwa wakifuatilia maandishi ktk jezi hizo.

MY TaKe.Yanga jifunzeni kwa Simba kuwa wabunifu siyo mnatuletea Ma t-shirt marefu km madela.
 
Nanukuu' "ushindi wa bao 1-0 walioupata Simba dhidi ya AS Vita unatokana na Tanzania kuwa katika uchumi wa kati."
Hapo ndo wanaharibu ...ni kauli kama hizo zimepelekea watu wengi kuichukia Starz,...

Sasa baada ya kuona stars haina mwelekeo wamegeukia Simba....kwa kauli hizi za kisiasa watawaharibia Simba muda si mrefu
 
Hiyo Take yako ni ya Kijinga na upumbavu, kwani lazima uitaje Yanga? Hamna Team nyingine tofauti na Yanga? Jiheshimu na uache kufatiria Team ambayo haikuhusu.
Heeee,heee,heee!!
Jeshi la polisi mashabiki wa Simba tunaomba ulinzi.
 
Hapo ndo wanaharibu ...ni kauli kama hizo zimepelekea watu wengi kuichukia Starz,...

Sasa baada ya kuona stars haina mwelekeo wamegeukia Simba....kwa kauli hizi za kisiasa watawaharibia Simba muda si mrefu

Kwa hasira uchwara kama hizi, bora Sisiemu iendelee kutawala tu miaka buku ngapi huko, hadi Wabongo wote tuwe wa rangi ya mimea. Hapo upo!???
 
Hee....sasa hivi mashabiki wa Yanga ni kama petrol imeegeshwa karibu na moto, upepo kidogo ukitokea wamelipuka....!
Wengine wamepanic wanatembea wanaongea peke yao,ukiwasemesha kidogo wanakujibu kwa ukali utadhani Kuna ugomvi.
 
Hapo ndo wanaharibu ...ni kauli kama hizo zimepelekea watu wengi kuichukia Starz,...

Sasa baada ya kuona stars haina mwelekeo wamegeukia Simba....kwa kauli hizi za kisiasa watawaharibia Simba muda si mrefu
Mbona mlivyosifiwa ninyi haukusema maneno haya?.Ee Bwana karoho kanakuuma eennhh???.Jikaze Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…