Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Leo baada ya mechi uwanjani Simba waliamua kupandisha wachezaji kwenye magari madogo kama Alphad na Noah ili wasijulikane baada ya kuona usalama ni mdogo nje ya uwanja.
Hata walipotoka walikuta mashabiki wamejaa wakiwazomea kwenye hayo magari.
Viongozi wa Simba wasipowajibika watakuja kusababisha mengine makubwa. Maana mgomo unaonekana uwanjani leo mashabiki ni wachache lakini timing itakuwa baada ya mechi wakisubiriwa nje.
Simba leo haijapoteza lakini draw tu wachezaji wameshindwa kutoka na bus uwanjani, chonde chonde viongozi bado kuna mechi ngumu Dar kama Wydad. Hayo yote yamesababishwa na upigaji kwenye usajili.
Mwokozi wenu atakuwa Kocha huyu mpya lakini kwa hao wachezaji kazi mnayo labda hamisheni mechi zenu zichezwe nje ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app