Wachezaji wa Simba wapiga goti kumuenzi George Floyd

Wachezaji wa Simba wapiga goti kumuenzi George Floyd

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani.
R.I.P George
😭

101849764_2706249229660303_5355813476398792704_n.jpg
 
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani.
R.I.P George
[emoji24]

Mi ni Simba ila sikubaliani na huu unafiki, Lisu amepigwa risasi hadharani hakuna aliyefanya hivyo.
Mo ametekwa wala clab haikuwahi kufanya hayo.
Huo ni upuzi kabsa.
 
Subirini Haji aje na kusema Simba ni timu ya kwanza Tanzania kama si Africa Mashariki na Kati kufanya hivyo. Anapenda sana record kama hizi za Pwagu na Pwaguzi.
 
Hawa Simba wana mapepo au ni wanafiki wa kiwango cha PHD. Simba hawakuonyesha kujali wakati Polisi wa Tanzania walipomwua Akwilina tena akiwa ndani ya daladala. Angalao Polisi wangeshatakiwa kwa uzembe wa kutumia bunduki hovyo hovyo na kuhatarisha maisha ya abiria wengine wa kwenye ile daladala.

Je haya yote yakitokea hii MISIMBA ilikuwa wapi kama kweli inajali uhai wa binadamu????
 
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani.
R.I.P George
[emoji24]

Tunaona yule mweusi wa marekani ndiyo bora zaidi kuliko waafrika wenzetu wanaoteswa na askari wetu wa kiafrika na tawala za kiafrika.
FB_IMG_1590982635507.jpg
FB_IMG_1590982103103.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ni Simba ila sikubaliani na huu unafiki, Lisu amepigwa risasi hadharani hakuna aliyefanya hivyo.
Mo ametekwa wala clab haikuwahi kufanya hayo.
Huo ni upuzi kabsa.
hahaha kwaio simba wanafki sio
 
Subirini Haji aje na kusema Simba ni timu ya kwanza Tanzania kama si Africa Mashariki na Kati kufanya hivyo. Anapenda sana record kama hizi za Pwagu na Pwaguzi.
Naona kama unawananga Lumumba 😁
 
Hata Yesu aliwahi kuwapa makavu kwa kutolea mfano wa kibanzi na boriti kwenye jicho , wayebusi wakubwa wachezaji wasimbe wa simba na viongozi wao.
 
In the video, Owens highlights Floyd’s criminal record, particularly a 2007 armed robbery of a woman’s home in Houston, for which Floyd was convicted in 2009 and served five years in prison. While the media has generally portrayed Floyd as having “started a new life” since his five-year stint in prison, Owens points to his alleged attempt to use a counterfeit bill, which prompted the ultimately fatal arrest, and two autopsies indicating he had drugs in his system as evidence suggesting he had not fully reformed.
 
Back
Top Bottom