Eeh yaan now days watoto wanajua nyimbo za zuchu mwanzo mwisho Ila nymbo ya taifa hawajui
Labda ibadilishiwe version iwe amapiano
Daaah nihatar ndy maana wasanii wanakua kibao kumbe wanaanzia utotonWangeweka za chinno wana man.. juzi kati nipo kwenye daladala, nikaona mshikaji kapanda na mkewe na mtoto mdogo, hawakupata siti, nikamchukua yule bwana mdogo kuwasiaida. Dogo ni kama miaka mi3 ama 4 hivi.. ila ikapigwa ngoma ya bongofleva siikumbuki, ila dogo akwa anatambaa nayo kama vile yeye ndio alimtungia yule msaniiš¤£