Kifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi. Maana kila mtu atapambana kivyake.