Wanajua ujinga aliofanya.Kifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi.Maana kila mtu atapambana kivyake.
Kipindi Babu Onyango ana mgogoro na timu yake kina Inonga walijiunga nae? Mzee Rage popote ulipo shikamooKifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi.Maana kila mtu atapambana kivyake.
Hii kesi ya Feisal inashushia watu wengi heshima humu jukwaani yaani watu wanaonesha jinsi walivyojitoa akiliKipindi Babu Onyango ana mgogoro na timu yake kina Inonga walijiunga nae? Mzee Rage popote ulipo shikamoo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji706]Kifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi.Maana kila mtu atapambana kivyake.
hakuna mchezaji mwenye akili atamuunga mkono feiKifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi.Maana kila mtu atapambana kivyake.
Sio wamejitoa akili, hawana hizo akili zenyeweHii kesi ya Feisal inashushia watu wengi heshima humu jukwaani yaani watu wanaonesha jinsi walivyojitoa akili
πππππLabda aliwanyima sukari wao wakala ugari na chumvi
Asante Jemadari Said Kwa kuibua kesi inayotusaidia kwajua watu na uwezo wao. Kila mchezaji wa Yanga, Simba, Azam au timu yoyote ya Ligi kuu amesaini mkataba kivyake, yeye na Mwanasheria wake au Wakala wake. Hakuna mchezaji amesaini mkataba wa jumla na wenzake. Hakuna mkataba wa mchezaji yeyote ulio na kipengele cha kutetea maslahi ya Mchezaji mwenzake. Kwa mantiki hiyo kuwalaumu Wachezaji wa Yanga eti hawamsapoti Feisal kwenye mgogoro wake na mwajiri wake ni kuwaonea. Ningewaona wa ajabu kama hata wangetoka na kumlaumu Kwa sababu hayawahusu.Kifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati wanaemtelekeza nyati mwenzao aliyekamatwa na Simba mmoja.
Hata hivyo wanayo sababu ya kuwa wabinafsi. Maana kila mtu atapambana kivyake.
Ha ha ha πLabda aliwanyima sukari wao wakala ugari na chumvi
Contract is a mutual agreement.Walipoona wanawalipa vijana hela ndogo licha ya kazi kubwa waliyofanya wakaamua wamalizane na Dickson job kimya kimya.
Mkuu, sio kuwa WANAJITOA, bali HAWANA kabisaaa!Hii kesi ya Feisal inashushia watu wengi heshima humu jukwaani yaani watu wanaonesha jinsi walivyojitoa akili