Wachezaji wa Yanga baadhi wakutwa na dalili za covid 19 na wamewekwa karantini

Mpka mda huu Yanga wamegomea vipimo baada ya kuchelewa kutolewa majibu
 
Dawa ya Moto Ni Moto..Ni dhahiri wanigeria watalipiza yote waliyofanyiwa bongo ..nasikia wanamsaka pia aliyempiga msemaji wao...na wakimkosa itabidi walipize kwa msemaji wa utopolo..nguruwe pori ajiandae...tutasikia mengi Leo stay tune

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji wote wapo uwanjani yanga wamesimamia kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…