Wachezaji wa Yanga wahakikishe mikataba matapeli wameingia mjini

Wachezaji wa Yanga wahakikishe mikataba matapeli wameingia mjini

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wahakikishe mikataba yao kama ina mapungufu au la. Timu imevamiwa na matapeli na wahuni wazee wa wape salamu.

Wamekuwa matapeli kabisa ,tshishimbi walisema amesaini mkataba kumbe uwongo tu,morison hivo hivo,haya majamaa ni matapeli na sasa hivi walivyo hawana hela na wanasajili wengi ndo mwanya wa kufanya utapeli wao.

Jana kabla pale jangwani wamejazana Nungaz akiwaimbisha "wape salamuuuu morison ni mchezaji wetu ".

Hawa majamaa utapeli wao wa nguvu kama majambazi ,wanajua mkataba feki ila wamekomaa hadi mwisho.

Wanatuhumiwa pia kuandika barua kujifanya Sure Boy ,yaani wao kila sehemu tuhuma za wizi na utapeli

Bumbuli leo kaja na kipya eti hii ikiisha tunakuja na lingine bado tunakomaa na Simba ,hata wasemaji hawajui GSM anaendeshaje wanapiga tu domo.

Hii timu ya kihuni sana TFF na wachezaji pitieni mikataba yenu upya mnaongozwa na matapeli
 
Jana kabla pale jangwani wamejazana Nungaz akiwaimbisha "wape salamuuuu morison ni mchezaji wetu ".
Halafu ni ujinga. Juzi juzi baada ya mechi ya watani walikuwa wanasema hana nidhamu aondoke, hawataki kumuona. Kwenye sakata hili wanaimbishwa eti Morrison ni mchezaji wetu!
 
Halafu ni ujinga. Juzi juzi baada ya mechi ya watani walikuwa wanasema hana nidhamu aondoke, hawataki kumuona. Kwenye sakata hili wanaimbishwa eti Morrison ni mchezaji wetu!
wanatamani abaki bila timu asicheze
 
Kina Diego Simeone na Ramos ni watukutu lakini ndo wanaipa vilabu vyao mafanikio.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Baada ya Ishu ya Tshishimbi..hii ya Morison na jana ile barua ya Sure boy kwenda Azam..ni wazi sasa hawa jamaa ni matapeli...They are not be trusted at all.
Senzo anajua yote haya sijui katumia makalio kusaka kazi kule. hata hawa wachezaji wa kigeni inabidi wawe wanajiridhisha aisee. maana hili genge sio,likisaidiana na waandishi wa magazeti uchwara
 
Sehemu za kusaini zimekatwa kama sio forgery ni nini?Tena wamshukuru sana Mwenyekiti wa kamati Elias Mwanjala ambaye ni Yanga lia lia amewalinda sana hata akapigwa chini kwenye uchaguzi wa Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya kwa kukosa muda wa kampeni.

Kateni rufaa CAS muone mot😵utcome daraja la kwanza.
 
Sehemu za kusaini zimekatwa kama sio forgery ni nini?Tena wamshukuru sana Mwenyekiti wa kamati Elias Mwanjala ambaye ni Yanga lia lia amewalinda sana hata akapigwa chini kwenye uchaguzi wa Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya kwa kukosa muda wa kampeni .
Kateni rufaa CAS muone mot😵utcome daraja la kwanza.
kama siyo kufoji ni nini,sehemu ya jina lipo ila la saini limechanwa, hawa majamaa wahuni sana
 
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wahakikishe mikataba yao kama ina mapungufu au la,timu imevamiwa na matapeli na wahuni wazee wa wape salamu...
Mkuu kipi kimefanya hili sakata lichukue muda mrefu? Vipi, TFF hawakuwa na copy ya mkataba? Kibali cha kuichezea yanga alikipata vipi?
 
Simba walifanya taktike techne kwenye lugha ya kigiriki( art of arrangement). Tactical move.Bila kumsainisha Morisson tarehe 8/8/2020 Morrison asingeshinda hii kesi.

Presha kubwa ilikuwa upande wa kamati baada ya kusaini Simba vinginevyo angechinjiwa baharini. Pamoja na evidence bila ya presha ya Simba Morisson asingeshinda.
 
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wahakikishe mikataba yao kama ina mapungufu au la,timu imevamiwa na matapeli na wahuni wazee wa wape salamu...
Kwa tunaoijua GSM na jinsi ilivoanza, kupenya penya mpaka kuja kua kampuni kubwa na maarufu hatushangai kinachotokea Sasa.
 
Watu wanasinya kwenye vibalaza vya kahawa kama s utapeli nin?
 
Mkuu kipi kimefanya hili sakata lichukue muda mrefu? Vipi, TFF hawakuwa na copy ya mkataba? Kibali cha kuichezea yanga alikipata vipi?
kwasababu viongozi ndo hao hao wa Yanga wanaogopa kufanya maamuzi ,wamekabwa koo na simba hadi wakaona watekeleze majukumu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
kwasababu viongozi ndo hao hao wa Yanga wanaogopa kufanya maamuzi ,wamekabwa koo na simba hadi wakaona watekeleze majukumu
Jibu kiuhalisia na sio hisia. Hii ndio sifa kuu ya kuwa great thinker kama JF inavyosema the home of great thinkers.
 
Jibu kiuhalisia na sio hisia. Hii ndio sifa kuu ya kuwa great thinker kama JF inavyosema the home of great thinkers.
TFF ina madudu na yanga ina madudu kwenye hiyo ishu ,kuna lingine ?
 
Kwa tunaoijua GSM na jinsi ilivoanza, kupenya penya mpaka kuja kua kampuni kubwa na maarufu hatushangai kinachotokea Sasa.
Mkuu elezea kidogo kuhusu hili. Sipo concerned sana na soka.
 
Back
Top Bottom