Wachezaji wa Yanga wamkataa Nadir Haroub (Cannavaro) kwa kuwa ni mbea na mnafiki

mkuu GENTAMYCINE endelea kutujuza nyeti
 
mkuu GENTAMYCINE endelea kutujuza nyeti

Ninachofurahi tu ni kwamba Efm kupitia kwa Watangazaji wake Omary Katanga na Yusuph Mkule tokea juzi Jumamosi jioni katika Kipindi chao cha Michezo na hata leo katika Kipindi cha Sports Headquarters ameutumia uzi huu huu wangu kama ndiyo leading story yake kitu ambacho nimefarijika mno japo nadhani aliona tu aibu kuipa credits JF. Kwa mliosikiliza Efm Ijumaa usiku na leo Jumatatu asubuhi kuanzia Saa 3 na dakika 22 hadi na dakika 27 mtakuwa mlimsikia na kila kitu alichokuwa anawaelezea Umma wa Wasikilizaji wake alikuwa akifanya reference ya nilichoandika tena tukio zima kama lilivyo na juzi Omary Katanga alimpigia Simu Kocha wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' kumuuliza kile nilichokiandika hapa na kweli Pondamali akasema kama nilivyoandika na hakuishia tu hapo kwa hasira kabisa Juma Pondamali akasema kuwa kwanza hababaiki na Yanga kwani hata hadi sasa anafanya Kazi hapo Yanga hana Mkataba na anaona wanamzingua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…