Sioni ajabu hii Yanga kushindwa kwenda mbali kimataifa kwani mechi zinazochezeshwa na waamuzi wa nje,wanacheza mpira na sio mieleka wakati wa kukaba ndio maana wanafungika vizuri sana.
Waamuzi wetu hapa huona sana mchezaji wa yanga anapoguswa na kujiangusha pale anapozidiwa ujanja,lakini mchezaji huyo huyo akimzidi mpinzani ujanja hata kama ametumia nguvu nyingi kumsukuma,utasikia watangazaji wanaita fair challenge kisa mwamuzi kameza filimbi.
Nashauri TFF ione umuhimu wa kuleta nwamuzi kutoka nje,na siyo hawa akina aragija wanaoingia na matokeo uwanjani.
Aragija achezeshe mechi nyingine zote lakini derby waiteni waamuzi kutoka nje.
TFF jiangalieni maana kuna siku mtasababisha dhahama kubwa sana.
Mwamuzi huyu huwa anakuwa na hila anapochezesha.Anaweza kuwabeba kwenye matukio ya kijinga ili kuwaandaa kisaikolojia kuja kuwaumiza kwenye tukio moja tu na kuwatoa mchezoni.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app