Nilikuwa napitia Tovuti ya BBC SPORT..nimeona HABARI kuwa kuna wachezaji wa Zambia wanaocheza Katika Ligi ya huko FINLAND wanatuhumiwa kuwa walichukua Mlungula(RUSHWA) ili wapange matokeo.....hivyo wanaweza kufikishwa mahakamani kwa kosa hilo..
Nauliza wenzangu ..hivi Rushwa ya uwanjani au Michezoni huwa inapelekwa mahakamani?....hasa hizi za kiraia?....