Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Salaam wadau!
Dunia inaendelea, watu wanakuwa na biashara zinatanuka.
Nimekuwa nikifuatila saana wachezaji wa nje namba wanavyofanya vipaji vyao kuwa biashara na Kama unavyojua Biashara ni matangazo.
Ili mchezaji aweze kuuzika kwenye soka lazima awe na Mambo matatu au manne
Kipaji, ndo bidhaa yenyewe, kujituma na nidhamu yaani nihamu ya uwanjani, nidhamu ya kula, nidhamu ya mazoezi, nidhamu ya tabia binafsi. Kujitunza
Pili, management ya kueleweka wenye kuujua Mpira na soko lake siyo NDUGU Wala watu maarufu, kuwe na wakala anayejua timu nyingi, mwenye influence na timu nyingi Africa na nje ya Africa manager, mpiga picha na video mwanasheria kwa ajili ya mikataba, na daktari Hawa ni watu muhimu saana maisha ya mchezaji mf. Messi, Ronaldo, Mbappe, Samatta n.k
Tatu, Mitandao ya kijamii, Kama Instagram, YouTube , Tweeter n.k huko ndo soko lako lipo Yale magori mazuri tupia, chenga nzuri tupia , pass nzuri na short clips tupia ndo maana lazima uajili mtu wa kazi hizo, pia zile analysis za akina Mbaduke nunua mpe kazi akufanyie analysis then tupia huko
Huko ndo kujitangaza
Swali Je kuna ulazima wa kila mchezaji kuwa na documentary yake ili kujitangaza JIBU ni NDIYO
MFANO , Goalkeeper anayesadikika kusajiliwa na Simba ukitaka uone clip zake lazima uone timu mzima ya KMC ndo ujue ukali wake , Sasa angekuwa na documentary au video profile tungeona
[emoji272] mazoezi yake,
[emoji2530]saves zake
.[emoji2530]goals anazofungwa na penalties n.k
Kila raheli wachezaji wetu katika kusaka riziki yenu simba sport club Young sport club azam sport club @Namungo sport club Ihefu sport club n.k