Wachezaji wabovu kuwahi kusajiliwa Simba na Yanga

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kuna wachezaji wabovu hasa wa kigeni waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe na timu za Simba na Yanga ila wakaishia kuondoka nchini kimya kimya kutokana na uwezo wao mdogo hata kufikia kushindwa kiuwezo na wachezaji wenyeji.
Tujikumbushe sajili mbovu kuwahi kufanywa na vilabu vya Simba na Yanga.
 
Mba ndio wa kwanza katika list aliyesajiliwa na Yanga... maana Shamra shamra zilianzia Airport and then Magazetini basi kila uchwao Mba Mba Mba mazoezini alifunga goli moja magazeti yakalipuka Mba Mba Mba kivumbi kwenye ligi aliishia kufunga goli moja tu. and then sikumsikia tena.
 
Mkuu una utani na watu, utapigwa mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…