Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Galasa kwelikweliZulu mkata umeme wa yanga😂😂.
Nadhani ndio jina la mkata umeme lilipata umaarufu bongo hii kwake....Galasa kwelikweli
Hujui Mpira na wala hukuwahi kumuona Nonda Shabani Papii akicheza Yanga.Nonda Shaban.
Baadae ikawa Lulu ulaya
Muulize Majid Musisi atakupa habari zake.Jamhuri Kiwelu
Walianza kumwita Mrisho Mpoto.[emoji23][emoji23]yule jamaa walipuyanga