Wachezaji wafuatao wachukuliwe hatua haraka na mapema

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mods pliz msiunganishe uzi huu

Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.

Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.

Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.

Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.

Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
 
lawama hizi huwa zinatolewaga na mashabiki huku kwetu africa...
 
Mods pliz msiunganishe uzi huu

Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.

Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.

Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.

Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.

Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Kweli wewe mchochezi
 
Simba Ilaheze
Simba Waibhonye Hehe

For Swahili Audience
Simba Imemaliza
Simba Umeiona Wapi

Juu Kabisa
Kigoma Wanaelewa Wenyewe
 
Mods pliz msiunganishe uzi huu

Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.

Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.

Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.

Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.

Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Mkuu nyie ndio mnao tuaribia mpira wetu
Achana na habari fikirishi
Wakati timu mda wote imejeza mpira chini nikimaanisha eneo lao.
Muulize kocha wako kwann Tshishimbi amchezeshe sita
Ulitegemea nini hapo
 
Mods pliz msiunganishe uzi huu

Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.

Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.

Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.

Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.

Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Mimi nafikiri tusilaumiane, vijana wamepambana Ila hayo nayo ni matokeo ambayo ni sehemu y'a mchezo. Ila Ajibu n'a Raphaël Daudi leo hawakuwa n'a siku nzuri. Kessy wala asilaumiwe, kilichotokea leo kwake ni mchezo tu.
 
Katika mpira kawaida hiyo mtu kupotea ludi nyuma kidogo mechi ya UEFA kati ya Real Madrid na buyern munich Christian Ronaldo alipotea na Madrid awaja mshitaki UEFA
 
Yanga nani asiyewajua bwana?hamuishi kulalamika mkipigwa na mnyama!mkongo akawe na mapenzi na Simba hadi acheze kiwango cha chini we umeona wapi!huyo mpemba Hajibu asizipende timu za kwao Gombani Kisiwani huko leo aonekane anaipenda Simba kwasababu imeifunga Yanga?
 
Kama TFF hawatachukua hatua za kinidhamu kwa Kelvin Yondani kuna tatizo mahala kwenye mfumo wetu wa soka.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom