Kweli wewe mchocheziMods pliz msiunganishe uzi huu
Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.
Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.
Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.
Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.
Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Mkuu nyie ndio mnao tuaribia mpira wetuMods pliz msiunganishe uzi huu
Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.
Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.
Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.
Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.
Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Kamsimulie mkeo Kichuya kakufanya niniKUFUNGWA NA TIMU YA WANAWAKE SIO VIZURI KABISA.
kwa kosa ganiRungu la TFF linamuhusu Yondani Mabangi
Mimi nafikiri tusilaumiane, vijana wamepambana Ila hayo nayo ni matokeo ambayo ni sehemu y'a mchezo. Ila Ajibu n'a Raphaël Daudi leo hawakuwa n'a siku nzuri. Kessy wala asilaumiwe, kilichotokea leo kwake ni mchezo tu.Mods pliz msiunganishe uzi huu
Hawa ndio wameiua na kuizika Yanga leo huku wakiwa ni waajiriwa wa timu hiyo.
Mimi naanza na Hassan Kessy ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Simba aliyeihujumu Yanga leo bila aibu.
Papy Kabamba Tshishimbi ambaye alipotea toka dakika ya kwanza.
Ibrahim Ajib. Mwanasimba huyu kindakindaki zaidi ya kupiga Outer zisizo na faid kwenye timu alikuwa anazurura tu.
Naomba waitwe wahojiwe mapema na haraka iwezekenavyo...
Duh..Huyo mchezaji amenistaajabisha sana, kwa kitendo chake cha kumtemea makohozi mchezaji mwenzake wa timu pinzani.Rungu la TFF linamuhusu Yondani Mabangi
Ni Mviziaji huyo, kila wakati yupo karibu na gilikipa.bila kusahau chirwa