De Lima hajawahi chukua UCLRonaldo de Lima
Huyu alichukua kila kitu hiyo 2002 akiwa na Real Madrid na Brazil
Upo sahihiDe Lima hajawahi chukua UCL
Kuna game aliingia sub nahisi, hivyo alicheza.Watu wanasema kaka hakucheza hata dakika moja kwenye WC ya 2002.
Watu wanasema kaka hakucheza hata dakika moja kwenye WC ya 2002.
Mchezaji asipocheza hata sekunde moja lakini yupo nominated kwenye kikosi kinachoshiriki mashindano, na bahati nzuri timu yake ikabeba ndoo. Je atahesabika kuwa hajashiriki?Kuna game aliingia sub nahisi, hivyo alicheza.
Kashiriki na medali anavaa..Mchezaji asipocheza hata sekunde moja lakini yupo nominated kwenye kikosi kinachoshiriki mashindano, na bahati nzuri timu take ikabeba ndoo. Je atahesabika kuwa hajashiriki?
Sawa mkuuKashiriki na medali anavaa..