Wachezaji wanaoongoza kwa Assist kwenye ligi kuu ya Uingereza

Wachezaji wanaoongoza kwa Assist kwenye ligi kuu ya Uingereza

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
1,328
Reaction score
3,718
1. Ryan giggs - 162
2. Cesc fabregas - 111
3. Kevin De bruyne - 104
4. Wayne Rooney - 103
5. Frank Lampard - 102
6. Dennis Berg Kamp - 94
7. David Silva - 93
8. Steven Gerrard - 92
9. James Milner - 89
10. David Beckham - 80
 
Kwangu mimi cesc fabregas alikuwa mtu saana.. MAESTRO.
de bruyne, ozil, dennis berkgamp ni wachezaji ambao walikuwa wanafanya mpira uonekane mchezo mwepezi saana.

Kama tukichukua wastani, idadi ya mechi kwa assist nahisi fabregas na de bruyne ndio mmoja wao atakuwa top hapo.
 
Cesc umemtaja umenikumbusha Milan vs Arsenal 2008.Katikati anazima na Flamini.Shanga zilikatwa sana siku hiyo.Arsenal mwili mzimaaa.
 
Back
Top Bottom